Genesis 46:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya wazawa wa Yakobo aliokwenda nao Misri, bila kuwahesabu wake za wanawe, ilikuwa watu sitini na sita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote walioenda Misri pamoja na Yakobo, waliokuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe wake, walikuwa watu sitini na sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi zote waliokuja pamoja na Yakobo mpaka Misri waliotoka viunoni mwake, bila wake za wanawe Yakobo, nafsi zote walikuwa sitini na sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya wazawa wa Yakobo aliokwenda nao Misri, bila kuwahesabu wake za wanawe, ilikuwa watu sitini na sita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote waliokwenda Misri pamoja na Yakobo, ambao walikuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe zake, walikuwa watu sitini na sita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote waliokwenda Misri pamoja na Yakobo, waliokuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe zake, walikuwa watu sitini na sita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote waliokuja pamoja na Yakobo mpaka Misri, waliokuwa wazao wake, bila wake za wanawe, walikuwa watu sitini na sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya wazawa wa Yakobo aliokwenda nao Misri, bila kuwahesabu wake za wanawe, ilikuwa watu sitini na sita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote waliokwenda Misri na Yakobo ni 66; ndio waliotoka kiunoni mwake, tena wake zao wana wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi zote waliokuja pamoja na Yakobo mpaka Misri waliotoka viunoni mwake, bila wake za wanawe Yakobo, nafsi zote walikuwa sitini na sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya wazao wa Yakobo aliokwenda nao Misri, bila kuwahesabu wake za wana wake, ilikuwa watu makumi sita na sita.