Genesis 47:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akakusanya fedha yote ya nchi ya Misri na Kanaani kutokana na nafaka waliyonunua, akaipeleka fedha hiyo ikulu kwa Farao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akakusanya fedha zote zilizoonekana katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani, kwa nafaka waliyoinunua. Yusufu akazileta zile fedha nyumbani mwa Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akakusanya fedha yote ya nchi ya Misri na Kanaani kutokana na nafaka waliyonunua, akaipeleka fedha hiyo ikulu kwa Farao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka katika mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akakusanya fedha zote zilizoonekana katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani, kwa nafaka waliyoinunua. Yusufu akazileta zile fedha nyumbani mwa Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akakusanya fedha yote ya nchi ya Misri na Kanaani kutokana na nafaka waliyonunua, akaipeleka fedha hiyo ikulu kwa Farao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akazikusanya fedha zote zilizopatikana katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani kwa kuuza ngano, watu walizozinunua; naye Yosefu akazipeleka hizo fedha nyumbani mwake Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akakusanya fedha zote zilizoonekana katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani, kwa nafaka waliyoinunua. Yusufu akazileta zile fedha nyumbani mwa Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu akakusanya feza yote ya inchi ya Misri na Kanana kutokana na ngano waliyonunua, akapeleka feza hiyo kwa nyumba ya mufalme.