Genesis 47:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawachagua ndugu zake watano na kuwapeleka mbele ya Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akachagua ndugu zake watano na kuwaonyesha kwa Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akachagua ndugu zake watano na kuwaonyesha kwa Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa amewachukua ndugu zake watano waliozaliwa wa mwisho kuwasimamisha mbele ya Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu alikuwa amewatwaa wandugu zake watano, akawajulisha kwa mufalme.