Genesis 47:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Yusufu akawafanya watu watumike kama watumwa, kuanzia upande mmoja wa Misri hadi upande mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Yosefu akawafanya watu watumike kama watumwa, kuanzia upande mmoja wa Misri hadi upande mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Yusufu akawafanya watu watumike kama watumwa, kuanzia upande mmoja wa Misri hadi upande mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu akawahamisha kukaa mijini toka mpaka wa kwanza wa Misri hata mpaka wake wa mwisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja mpaka pembe ingine ya inchi ya Misri.