Genesis 47:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa mia moja na arobaini na saba (147).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi siku za miaka ya maisha yake Yakobo ilikuwa miaka mia moja na arobaini na saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arobaini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo akawapo katika nchi ya Misri miaka 17; hivyo siku za miaka ya maisha yake Yakobo zikawa miaka 147.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi siku za miaka ya maisha yake Yakobo ilikuwa miaka mia moja na arobaini na saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo alikaa katika inchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, mpaka alipofikia umri wa miaka mia moja makumi ine na saba.