Genesis 47:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao akawauliza, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Bwana, sisi watumishi wako ni wachungaji, kama walivyokuwa babu zetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akawauliza hao ndugu zake, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Watumishi wako ni wafugaji, kama baba zetu walivyokuwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akawauliza hao nduguze, Kazi yenu ni nini? Wakamwambia Farao, Watumwa wako tu wachunga wanyama, sisi, na baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao akawauliza, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Bwana, sisi watumishi wako ni wachungaji, kama walivyokuwa babu zetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akawauliza hao ndugu zake, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Watumishi wako ni wachunga mifugo, kama vile baba zetu walivyokuwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akawauliza hao ndugu zake, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Watumishi wako ni wachunga mifugo, kama vile baba zetu walivyokuwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akawauliza hao nduguze, Kazi yenu ni nini? Wakamwambia Farao, Watumwa wako tu wachunga wanyama, sisi, na baba zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao akawauliza, “Kazi yenu ni nini?” Wakamjibu, “Bwana, sisi watumishi wako ni wachungaji, kama walivyokuwa babu zetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao alipowauliza: Kazi yenu nini? wakamwambia Farao: Watumwa wako ni wachungaji; nasi tulivyo, ndivyo, nao baba zetu walivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akawauliza hao nduguze, Kazi yenu ni nini? Wakamwambia Farao, Watumwa wako tu wachunga wanyama, sisi, na baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akawauliza: “Kazi yenu ni nini?” Wakamujibu: “Bwana, sisi watumishi wako ni wachungaji, kama vile babu zetu walivyokuwa.”