Genesis 47:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ila unilaze pamoja na babu zangu. Nichukue kutoka Misri, ukanizike katika makaburi yao.” Yosefu akamjibu, “Nitafanya kama ulivyosema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini nitakapopumzika na baba zangu, unichukue kutoka Misri, ukanizike walipozikwa.” Yusufu akamwambia, “Nitafanya kama unavyosema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nitakapolala pamoja na baba zangu, unichukue toka Misri, unizike katika kaburi lao. Akasema, Nitafanya kama ulivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ila unilaze pamoja na babu zangu. Nichukue kutoka Misri, ukanizike katika makaburi yao.” Yosefu akamjibu, “Nitafanya kama ulivyosema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini nitakapopumzika na baba zangu, unichukue kutoka Misri, ukanizike walipozikwa.” Yosefu akamwambia, “Nitafanya kama unavyosema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini nitakapopumzika na baba zangu, unichukue kutoka Misri, ukanizike walipozikwa.” Yusufu akamwambia, “Nitafanya kama unavyosema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nitakapolala pamoja na baba zangu, unichukue toka Misri, unizike katika kaburi lao. Akasema, Nitafanya kama ulivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ila unilaze pamoja na babu zangu. Nichukue kutoka Misri, ukanizike katika makaburi yao.” Yosefu akamjibu, “Nitafanya kama ulivyosema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nipate kulala kwa baba zangu. Kwa hiyo unichukue na kunitoa huku Misri, upate kunizika kaburini mwao! Naye akasema: Nitafanya, kama ulivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nitakapolala pamoja na baba zangu, unichukue toka Misri, unizike katika kaburi lao. Akasema, Nitafanya kama ulivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini unilalishe pamoja na babu zangu. Unitwae kutoka Misri na kunizika katika makaburi yao.” Yosefu akamujibu: “Nitafanya kama ulivyosema.”