Genesis 47:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo akamwambia, “Niapie!” Yosefu akamwapia. Kisha Israeli akainamia upande wa kichwa cha kitanda chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, “Niapie.” Ndipo Yusufu akamwapia, naye Israeli akaabudu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanena, Niapie. Naye akamwapia. Israeli akajiinamisha kwenye mchago wa kitanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo akamwambia, “Niapie!” Yosefu akamwapia. Kisha Israeli akainamia upande wa kichwa cha kitanda chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Niapie.” Ndipo Yosefu akamwapia, naye Israeli akaabudu, akijiegemeza kwenye mchago wa kitanda chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, “Niapie.” Ndipo Yusufu akamwapia, naye Israeli akaabudu, akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanena, Niapie. Naye akamwapia. Israeli akajiinamisha kwenye mchago wa kitanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo akamwambia, “Niapie!” Yosefu akamwapia. Kisha Israeli akainamia upande wa kichwa cha kitanda chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposema: Uniapie! akamwapia. Kisha Isiraeli akauinamia upande wa kichwani wa kitanda na kusali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanena, Niapie. Naye akamwapia. Israeli akajiinamisha kwenye mchago wa kitanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo akamwambia: “Uniapie!” Yosefu akamwapia. Kisha Israeli akainamia upande wa kichwa cha kitanda chake.