Genesis 47:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao akamwambia Yosefu, “Baba yako na ndugu zako wamekujia wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akamwambia Yusufu, “Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao akamwambia Yosefu, “Baba yako na ndugu zako wamekujia wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akamwambia Yosefu, “Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akamwambia Yusufu, “Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao akamwambia Yosefu, “Baba yako na ndugu zako wamekujia wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Farao alipomwambia Yosefu kwamba: Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwambia Yosefu: “Baba yako na wandugu zako wamekufikia wewe.