Genesis 47:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akamuuliza, “Je, una umri gani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za miaka ya maisha yako ni ngapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akamwuliza, “Je una umri gani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akamuuliza, “Je una umri gani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za kuishi kwako ni ngapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao alimpomwuliza Yakobo: Miaka yako ya kuwapo ni mingapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za miaka ya maisha yako ni ngapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwuliza Yakobo: “Umri wako ni miaka mingapi?”