Genesis 48:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee. Basi, Yosefu akawasogeza wanawe karibu na baba yake, naye akawabusu na kuwakumbatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee, naye aliona kwa shida. Kwa hiyo Yusufu akawaleta wanawe karibu na baba yake, naye Israeli akawabusu na kuwakumbatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee. Basi, Yosefu akawasogeza wanawe karibu na baba yake, naye akawabusu na kuwakumbatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee, naye aliona kwa shida. Kwa hiyo Yosefu akawaleta wanawe karibu na baba yake, Israeli akawabusu na akawakumbatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee, naye aliona kwa shida. Kwa hiyo Yusufu akawaleta wanawe karibu na baba yake, Israeli akawabusu na akawakumbatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona vizuri. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee. Basi, Yosefu akawasogeza wanawe karibu na baba yake, naye akawabusu na kuwakumbatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana macho yake Isiraeli yalikuwa yameguiwa na kiza, hayakuweza kuona kwa ajili ya uzee. Yosefu alipowafikisha karibu yake, akawanonea na kuwakumbatia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee. Basi, Yosefu akasogeza wana wake karibu na baba yake, naye akawabusu na kuwakumbatia.