Genesis 48:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Yosefu akawaondoa wanawe kwenye magoti ya baba yake, kisha akainama kwa heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yusufu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli, naye akasujudu, uso wake ukagusa chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Yosefu akawaondoa wanawe kwenye magoti ya baba yake, kisha akainama kwa heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yosefu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yusufu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Yosefu akawaondoa wanawe kwenye magoti ya baba yake, kisha akainama kwa heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosefu alipowaondoa magotini pake, akamwinamia na kuufikisha uso wake chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Yosefu akawaondoa wana wake kwenye magoti ya baba yake, kisha akainama kwa heshima.