Genesis 48:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yusufu amekuja kukuona,” Israeli akajitia nguvu, akaketi kitandani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaarifiwa Yakobo ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yosefu amekujia kukuona,” Israeli akakusanya nguvu zake, akaketi kitandani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yusufu amekujia kukuona,” Israeli akakusanya nguvu zake, akaketi kitandani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yakobo akaarifiwa ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipompasha Yakobo habari kwamba: Tazama! Mwanao Yosefu anakuja kwako, Isiraeli akajitia nguvu, apate kukaa kitandani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaarifiwa Yakobo ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo alipofahamishwa kwamba mwana wake Yosefu amefika kumwona, akajikaza kuamuka, akaikaa juu ya kitanda.