Genesis 48:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akamwambia Yusufu, “Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani. Akanibariki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akamwambia Yusufu, “Mwenyezi Mungu alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo akamwambia Yosefu: Mwenyezi Mungu alinitokea Luzi katika nchi ya Kanaani, akanibariki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo akamwambia Yosefu: “Mungu Mwenye Nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika inchi ya Kanana, akanibariki.