Genesis 48:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akauliza, “Hawa ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isiraeli alipowaona wana wa Yosefu akauliza: Hawa ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza: “Ni wa nani hawa?”