Genesis 49:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Atafunga punda wake katika mzabibu na mwanapunda wake kwenye mzabibu bora. Hufua nguo zake katika divai, na mavazi yake katika divai nyekundu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atamfunga punda wake katika mzabibu, naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; atafua mavazi yake katika divai, majoho yake katika damu ya mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwana-punda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atafunga punda wake katika mzabibu na mwanapunda wake kwenye mzabibu bora. Hufua nguo zake katika divai, na mavazi yake katika divai nyekundu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atamfunga punda wake katika mzabibu, naye mwana punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; atafua mavazi yake katika divai, majoho yake katika damu ya mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atamfunga punda wake katika mzabibu, naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; atafua mavazi yake katika divai, majoho yake katika damu ya mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Atafunga punda wake katika mzabibu na mwanapunda wake kwenye mzabibu bora. Hufua nguo zake katika divai, na mavazi yake katika divai nyekundu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kipunda chake hukifunga mizabibuni, naye mwana punda humlisha miche ya mizabibu mizuri, huyafua mavazi yake katika mvinyo, nazo nguo zake katika damu za zabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwana-punda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atafunga punda wake katika muzabibu na mwana-punda wake kwenye muzabibu bora. Atafua nguo zake katika divai, na kanzu zake katika divai nyekundu.