Genesis 49:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baraka za baba yako zishinde baraka za milima ya milele, ziwe bora kuliko vilima vya kale. Baraka hizo na ziwe juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji lake yeye aliyekuwa ametengwa na ndugu zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraka za baba yako ni kubwa kuliko baraka za milima ya kale, nyingi kuliko vilima vya kale. Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yusufu, juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mibaraka ya baba yako Imepita mibaraka ya milima ya kale, Vitu vinavyotamanika vya vilima vya milele; Na vikae juu ya kichwa cha Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake aliye mkuu kati ya ndugu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baraka za baba yako zishinde baraka za milima ya milele, ziwe bora kuliko vilima vya kale. Baraka hizo na ziwe juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji lake yeye aliyekuwa ametengwa na ndugu zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraka za baba yako ni kubwa kuliko baraka za milima ya kale, nyingi kuliko vilima vya kale. Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji la mwana wa kifalme miongoni mwa ndugu zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraka za baba yako ni kubwa kuliko baraka za milima ya kale, nyingi kuliko vilima vya kale. Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yusufu, juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baraka za baba yako Ni nyingi kuliko za milima ya kale, Vitu vinavyotamanika vya vilima vya milele; Na vikae juu ya kichwa cha Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake, yeye aliyeteuliwa kati ya ndugu zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baraka za baba yako zishinde baraka za milima ya milele, ziwe bora kuliko vilima vya kale. Baraka hizo na ziwe juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji lake yeye aliyekuwa ametengwa na ndugu zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbaraka za baba yako zina nguvu kuzishinda mbaraka zao walionizaa, zitakupendeza kuliko matunu ya vilima vya kale na kale. Hizo ndizo zitakazokijia kichwa chake Yosefu, nao utosi wake yeye aliyewekwa kwa kutengwa na ndugu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mibaraka ya baba yako Imepita mibaraka ya milima ya kale, Vitu vinavyotamanika vya vilima vya milele; Na vikae juu ya kichwa cha Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake aliye mkuu kati ya ndugu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baraka za baba yako zishinde baraka za milima ya milele, zikuwe bora kuliko vilima vya kale. Baraka hizo zikuwe juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji lake yeye aliyekuwa ametengwa na wandugu zake.