Genesis 5:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enoshi aliishi jumla ya miaka mia tisa na tano (905), ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Enoshi ni miaka mia kenda na mitano, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Enosi zote zikawa miaka 905, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Enoshi ni miaka mia kenda na mitano, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enosi akakufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na mitano.