Genesis 5:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kenani aliishi jumla ya miaka mia tisa na kumi, ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Kenani ni miaka mia kenda na kumi, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kenani aliishi jumla miaka 910, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Kenani ni miaka mia tisa na kumi, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Kenani zote zikawa miaka 910, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Kenani ni miaka mia kenda na kumi, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kenani alikufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na kumi.