Genesis 5:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahalaleli aliishi jumla ya miaka mia nane tisini na tano (895), ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Mahalaleli zote zikawa miaka 895, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mahalaleli akakufa akiwa na umri wa miaka mia nane makumi tisa na mitano.