Genesis 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yaredi alipokuwa ameishi miaka mia moja na sitini na mbili (162), akamzaa Idrisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yaredi akaishi miaka mia na sitini na miwili, akamzaa Henoko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Idrisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaredi alikuwa mwenye miaka 162 alipomzaa Henoki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yaredi akaishi miaka mia na sitini na miwili, akamzaa Henoko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Yaredi alipokuwa na umri wa miaka mia moja makumi sita na miwili, akazaa Henoki.