Genesis 5:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “Binadamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa akawaita “Mwanadamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwumba kuwa mume na mke, akawabariki, akawaita jina lao Adamu (Mtu) siku hiyo, walipoumbwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaumba mwanaume na mwanamuke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Wanadamu” siku ileile alipowaumba.