Genesis 5:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Methusela alipokuwa ameishi miaka mia moja na themanini na saba (187), akamzaa Lameki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Methusela akaishi miaka mia na themanini na saba, akamzaa Lameki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mathusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Methusela akaishi miaka mia moja na themanini na saba, akamzaa Lameki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Metusela alikuwa mwenye miaka 187 alipomzaa lameki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Methusela akaishi miaka mia na themanini na saba, akamzaa Lameki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Metusela alipokuwa na umri wa miaka mia moja makumi nane na saba, akazaa Lameki.