Genesis 5:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Methusela aliishi jumla ya miaka mia tisa sitini na tisa (969), ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Methusela ni miaka mia tisa na sitini na tisa, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Metusela zote zikawa miaka 969, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Metusela akakufa akiwa na umri wa miaka mia tisa makumi sita na tisa.