Genesis 5:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lameki alipokuwa ameishi miaka mia moja na themanini na mbili (182), alimzaa mwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lameki akaishi miaka mia na themanini na miwili, akazaa mwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lameki akaishi miaka mia moja na themanini na miwili, akazaa mwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka 182, alimzaa mtoto wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lameki alikuwa mwenye miaka 182 alipozaa mwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lameki akaishi miaka mia na themanini na miwili, akazaa mwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Lameki alipokuwa na umri wa miaka mia moja makumi nane na miwili, akazaa mutoto mwanaume.