Genesis 5:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lameki aliishi jumla ya miaka mia saba sabini na saba (777), ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Lameki zote zikawa miaka 777, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lameki akakufa akiwa na umri wa miaka mia saba makumi saba na saba.