Genesis 5:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Nuhu kuishi miaka mia tano, aliwazaa Shemu, Hamu, na Yafethi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuhu alikuwa mwenye miaka mia tano, Nuhu akawazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Nuhu kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Noa alikuwa mwenye miaka 500 alipozaa wana; Semu, Hamu na Yafeti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuhu alikuwa mwenye miaka mia tano, Nuhu akawazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Noa kutimiza umri wa miaka mia tano, akazaa Semu na Hamu na Yafeti.