Genesis 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sethi alipokuwa ameishi miaka mia moja na tano, akamzaa Enoshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sethi akaishi miaka mia na mitano, akamzaa Enoshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sethi akaishi miaka mia moja na mitano, akamzaa Enoshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Seti alikuwa mwenye miaka 105 alipomzaa Enosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sethi akaishi miaka mia na mitano, akamzaa Enoshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Seti alipokuwa na umri wa miaka mia moja na mitano, akazaa Enosi.