Genesis 50:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yusufu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga, kwamba wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yosefu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa ili asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yusufu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa ili asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosefu akawaagiza watumishi wake waganga, wampake baba yake manukato; ndipo, hao waganga walipompaka Isiraeli manukato,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga, kwamba wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, akawaagiza waganga wake wamupakae baba yake Israeli, dawa kusudi asioze, nao wakafanya hivyo.