Genesis 50:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya, msiogope. Mimi nitawapeni chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawafariji na kusema nao kwa wema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya, msiogope. Mimi nitawapeni chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya, msiogope. Mimi nitawapeni chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo msiogope sasa! Mimi nitawatunza ninyi na watoto wenu. Hivyo akawatuliza mioyo akisema nao kwa upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, musiogope. Mimi nitawapa chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.