Genesis 50:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka mia moja na kumi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakaa Yusufu katika Misri, yeye na nyumba ya babaye. Akaishi Yusufu miaka mia na kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu Akakaa katika Misri, yeye na nyumba ya baba yake. Yusufu Akaishi miaka mia moja na kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akakaa Misri, yeye pamoja nao walio wa mlango wa baba yake; nayo miaka yake Yosefu ya kuwapo ilikuwa 110.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakaa Yusufu katika Misri, yeye na nyumba ya babaye. Akaishi Yusufu miaka mia na kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu akaendelea kukaa katika inchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka mia moja na kumi.