Genesis 50:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia waliandamana naye wapandafarasi na magari; lilikuwa kundi kubwa sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magari ya vita na wapanda farasi pia walipanda pamoja naye. Likawa kundi kubwa sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakaenda pamoja naye wapanda farasi, na magari; wakawa jeshi kubwa sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia waliandamana naye wapandafarasi na magari; lilikuwa kundi kubwa sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magari makubwa na wapanda farasi pia walipanda pamoja naye. Likawa kundi kubwa sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magari makubwa na wapanda farasi pia walipanda pamoja naye. Likawa kundi kubwa sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakaenda pamoja naye wapanda farasi, na magari; wakawa jeshi kubwa sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia waliandamana naye wapandafarasi na magari; lilikuwa kundi kubwa sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo magari na wapanda farasi wakapanda naye, wakawa kikosi kikubwa sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakaenda pamoja naye wapanda farasi, na magari; wakawa jeshi kubwa sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile alisindikizwa na wapanda-farasi na magari, lilikuwa kundi kubwa sana.