Genesis 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya watu ilipoanza kuongezeka duniani, na watoto wa kike wakazaliwa kwao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walipoanza kuongezeka idadi katika uso wa dunia na watoto wa kike wakazaliwa kwao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walipoanza kuongezeka idadi katika uso wa dunia na watoto wa kike wakazaliwa kwao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipoanza kuwa wengi katika nchi, nao wna wa kike walipozaliwa kwao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati watu walipoanza kuongezeka katika dunia na kuzaa wabinti,