Genesis 6:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na jeuri machoni pa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu aliiona dunia kuwa imeharibika na kujaa ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nchi ilikuwa imegeuka kuwa mbaya machoni pake Mungu, hiyo nchi ikijaa ukorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu aliona kwamba dunia imeharibika na kujaa mateso makali.