Genesis 6:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, jitengenezee safina kwa mbao za mpingo. Gawa vyumba ndani yake na ipake lami ndani na nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje; tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujifanyie safina ya mti wa mvinje; fanya na vyumba ndani ya safina, ukaifunike ndani na nje kwa lami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, jitengenezee safina kwa mbao za mpingo. Gawa vyumba ndani yake na ipake lami ndani na nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje, tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje, tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitengenezee safina ya mti wa mvinje; tengeneza vyumba ukaifunike kwa lami ndani na nje.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, jitengenezee safina kwa mbao za mpingo. Gawa vyumba ndani yake na ipake lami ndani na nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jitengenezee chombo kikubwa sana cha miti ya mivinje! Humo chomboni ndani ukate vyumba! Kisha kipake lami upande wa ndani nao wa nje!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujifanyie safina ya mti wa mvinje; fanya na vyumba ndani ya safina, ukaifunike ndani na nje kwa lami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, ujitengenezee chombo kwa mbao ngumu. Gawanya vyumba ndani yake na ukipakae kabulimbo ndani na inje.