Genesis 6:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaitengeneza hivi: Urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa mia tatu, upana wake dhiraa hamsini, na kimo chake dhiraa thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi ndivyo utakavyoifanya; mikono mia tatu urefu wa safina, mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaitengeneza hivi: urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, upana wake dhiraa hamsini, na kimo chake dhiraa thelathini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, upana wake dhiraa hamsini na kimo chake dhiraa thelathini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi ndivyo utakavyoifanya; dhiraa mia tatu urefu wa safina, dhiraa hamsini upana wake, na dhiraa thelathini kwenda juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaitengeneza hivi: Urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo ndivyo, utakavyokitengeneza: urefu wa hicho chombo uwe mikono 30, nao upana wake mikono 50, nao urefu wake wa kwenda juu mikono 300.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi ndivyo utakavyoifanya; mikono mia tatu urefu wa safina, mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakitengeneza hivi: urefu wake metre mia moja makumi tatu na tatu, upana wake metre makumi mbili na mbili na urefu wake kwenda juu metre kumi na tatu.