Genesis 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watoto wa kiume wa Mungu waliwaona hao wasichana wa watu kuwa ni wazuri, wakawachukua wale waliowapenda kuwa wake zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watoto wa kiume wa Mungu waliwaona hao wasichana wa watu kuwa ni wazuri, wakawachukua wale waliowapenda kuwa wake zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa ye yote miongoni mwao waliyemchagua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watoto wa kiume wa Mungu waliwaona hao wasichana wa watu kuwa ni wazuri, wakawachukua wale waliowapenda kuwa wake zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao wana wa Mungu walipowaona wana wa kike wa watu kuwa wazuri, wakajichukulia wake kwao wote, waliowachagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wana wa Mungu wakaona kwamba wale wabinti za watu ni wazuri, wakawatwaa wale waliowapendeza kuwa wake zao.