Genesis 6:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama, na wa kila aina ya kiumbe kinachotambaa ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika vyote virukavyo kwa jinsi yake, na kila namna ya mnyama kwa jinsi yake, kila kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake, wawili wa kila namna watakuja kwako ili uwahifadhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama na wa kila aina ya kitambaacho ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama na wa kila aina ya kitambaacho ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika vyote virukavyo kwa jinsi yake, na kila namna ya mnyama kwa jinsi yake, kila kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake, wawili wa kila namna watakuja kwako ili uwahifadhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utaingiza kila aina ya ndege wa angani, kila aina ya mnyama, kila aina ya kiumbe kitambaacho, wawiliwawili, ili kuwahifadhi hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao ndege wa kila namna nao nyama wa nyumbani wa kila namna, nao wadudu wote wa nchi wa kila namna; wao wote na waingie kwako wawili wawili, niwaponye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika vyote virukavyo kwa jinsi yake, na kila namna ya mnyama kwa jinsi yake, kila kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake, wawili wa kila namna watakuja kwako ili uwahifadhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Utaingiza kila aina ya ndege wa anga, kila aina ya nyama, kila aina ya kiumbe kinachotambaa, wawili wa kila aina, kwa kuwalinda wazima.