Genesis 6:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia chukua aina zote za vyakula vinavyolika, uvihifadhi kwa ajili ya chakula chenu na viumbe hao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia chukua aina zote za vyakula vinavyolika, uvihifadhi kwa ajili ya chakula chenu na viumbe hao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia chukua aina zote za vyakula vinavyolika, uvihifadhi kwa ajili ya chakula chenu na viumbe hao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wewe jichukulie vilaji vyote vinavyoliwa, uvikusanye kwako, viwe chakula chako wewe nacho chao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utwae vilevile aina zote za vyakula vinavyokuliwa, uvilinde kwa ajili ya chakula chenu na viumbe hivyo.”