Genesis 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Noa akafanya yote kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuhu akafanya kila kitu kama vile Mungu alimwamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo alivyofanya Nuhu, sawasawa na vyote alivyomwamuru Mungu, hivyo ndivyo alivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Noa akafanya yote kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Noa akafanya kila kitu sawasawa kama vile Mungu alivyomwamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuhu akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo alivyofanya Nuhu, sawasawa na vyote alivyomwamuru Mungu, hivyo ndivyo alivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Noa akafanya yote kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao akayafanya yote; kama Mungu alivyomwagiza, ndivyo, alivyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo alivyofanya Nuhu, sawasawa na vyote alivyomwamuru Mungu, hivyo ndivyo alivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Noa akafanya yote kama vile Mungu alivyomwamuru.