Genesis 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Noa alipata fadhili mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Nuhu akapata kibali machoni pa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Nuhu akapata neema machoni pa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Noa alipata fadhili mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Noa akapata kibali machoni pa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Nuhu akapata kibali machoni pa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Nuhu akapata neema machoni pa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Noa alipata fadhili mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Noa akapata upendeleo machoni pake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Nuhu akapata neema machoni pa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Noa akapata kukubaliwa mbele ya Yawe.