Genesis 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya siku hizo saba, maji ya gharika yakawa juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya siku zile saba maji ya gharika yakaja juu ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya siku hizo saba, maji ya gharika yakawa juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaanza kuifunika nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, zile siku saba zilipokwisha pita, mafuriko ya maji yakawa juu ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya siku hizo saba, maji ya gharika yakawa juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku saba, maji ya mafuriko yakaanza kuifunika inchi.