Genesis 7:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai vikaja kwa Nuhu viwili viwili, vikaingia katika safina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, wa kila chenye mwili kilicho na pumzi ya uhai ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai ndani yake vikaja kwa Noa viwili viwili, vikaingia katika safina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai ndani yake vikaja kwa Nuhu viwili viwili, vikaingia katika safina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliingia katika safina alimokuwa Nuhu, wawili wawili, wa kila chenye mwili kilicho na pumzi ya uhai ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaingia chomboni kwake Noa wawili wawili miongoni mwao wote wenye miili walio na pumzi za uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, wa kila chenye mwili kilicho na pumzi ya uhai ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wawili wawili wa kila aina ya viumbe vyenye uzima waliingia ndani ya chombo pamoja na Noa.