Genesis 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila aina yao waliingia, dume na jike, kama Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Mwenyezi-Mungu akaufunga mlango wa safina nyuma yake Noa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama walioingia katika safina walikuwa wa kiume na wa kike, wa kila kiumbe chenye uhai kama Mungu alivyomwamuru Nuhu; ndipo Mwenyezi Mungu akamfungia ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walioingia, waliingia mume na mke, wa kila kitu chenye mwili, kama vile alivyomwamuru Mungu; Bwana akamfungia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila aina yao waliingia, dume na jike, kama Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Mwenyezi-Mungu akaufunga mlango wa safina nyuma yake Noa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama walioingia katika safina walikuwa wa kiume na wa kike, wa kila kiumbe chenye uhai kama Mungu alivyomwamuru Noa, ndipo BWANA akamfungia ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama walioingia katika safina walikuwa wa kiume na wa kike, wa kila kiumbe chenye uhai kama Mungu alivyomwamuru Nuhu, ndipo bwana akamfungia ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walioingia, waliingia wa kike na wa kiume, wa kila kitu chenye mwili, kama vile alivyomwamuru Mungu; BWANA akamfungia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila aina yao waliingia, dume na jike, kama Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Mwenyezi-Mungu akaufunga mlango wa safina nyuma yake Noa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwao hao wote wenye miili wakaja mume na mke, wakaingia kwake, kama Mungu alivyomwagiza. Kisha Bwana akamfungia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walioingia, waliingia mume na mke, wa kila kitu chenye mwili, kama vile alivyomwamuru Mungu; BWANA akamfungia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila aina yao waliingia dume na dike kama vile Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Yawe akafunga mulango wa chombo nyuma ya Noa.