Genesis 7:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani; maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka uso wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arobaini; nayo maji yakazidi, yakaieleza safina, ikaelea juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani na maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka kwenye uso wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani na maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka kwenye uso wa nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arobaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, yakawako mafuriko ya maji siku 40 juu ya nchi; maji yalipokuwa mengi yakakieleza kile chombo, kikawa juu ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arobaini; nayo maji yakazidi, yakaieleza safina, ikaelea juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuriko yalidumu katika inchi kwa muda wa siku makumi ine. Maji yakaongezeka na kuiinua chombo, kikaelea juu ya udongo.