Genesis 7:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya dunia, na safina ikaelea juu ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yakapata nguvu, yakazidi sana juu ya nchi; na ile safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo maji yakakaza kuwa yenye nguvu, yakawa mengi sana juu ya nchi, nacho kile chombo kikaelea juu ya maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yakapata nguvu, yakazidi sana juu ya nchi; na ile safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yakaendelea kuongezeka zaidi juu ya inchi na chombo kikaelea juu yake.