Genesis 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yakazidi kujaa juu ya dunia, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yakapata nguvu sana sana juu ya nchi; na milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo maji yalipokaza kuwa yenye nguvu yakapanda, yakapanda juu ya nchi, mpaka ikifunikizwa milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yakapata nguvu sana sana juu ya nchi; na milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikizwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji hayo yakakuwa mengi sana juu ya inchi, yakafunika milima yote mirefu katika inchi.