Genesis 7:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukua pamoja nawe wanyama wote walio safi, dume na jike, saba saba; lakini wanyama walio najisi, chukua dume na jike, wawiliwawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua wanyama saba walio safi wa kila aina, wa kiume na wa kike; na wanyama wawili wawili wa kila aina walio najisi, wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wanyama wote walio safi ujitwalie saba saba, mume na mke; na katika wanyama wasio safi wawili wawili, mume na mke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukua pamoja nawe wanyama wote walio safi, dume na jike, saba saba; lakini wanyama walio najisi, chukua dume na jike, wawiliwawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uchukue wanyama saba walio safi wa kila aina, wa kiume na wa kike na wanyama wawili wawili wa kila aina walio najisi wa kiume na wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uchukue wanyama saba walio safi wa kila aina, wa kiume na wa kike, na wanyama wawili wawili wa kila aina walio najisi wa kiume na wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika wanyama wote walio safi ujitwalie saba saba, wa kiume na wa kike; na katika wanyama wasio safi wawili wawili, wa kiume na wa kike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukua pamoja nawe wanyama wote walio safi, dume na jike, saba saba; lakini wanyama walio najisi, chukua dume na jike, wawiliwawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo miongoni mwao nyama wote wa nyumbani wanaotakata jichukulie saba saba, mume na mkewe, nao nyama wa nyumbani wasiotakata chukua wawili wawili tu, mume na mkewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wanyama wote walio safi ujitwalie saba saba, mume na mke; na katika wanyama wasio safi wawili wawili, mume na mke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utwae pamoja nawe nyama wote wanaohesabiwa kuwa safi, dume saba na dike saba ya kila aina. Lakini nyama wanaohesabiwa kuwa wachafu, utwae dume na dike ya kila aina.