Genesis 7:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yakaendelea kujaa, yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yakapata nguvu, hata ikafunikwa milima kiasi cha mikono kumi na mitano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yakaongezeka hata milima ikafunikwa kiasi cha dhiraa kumi na tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hayo maji yakaipita juu mikono 15; ndivyo, milima ilivyofunikizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yakapata nguvu, hata ikafunikwa milima kiasi cha mikono kumi na mitano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yaliongezeka hata kufunika milima karibu metre saba na nusu.