Genesis 7:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe wote hai katika nchi wakafa. Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama wa porini, makundi ya viumbe wote katika nchi kavu na wanadamu wote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kiumbe hai kinachotambaa juu ya dunia kikaangamia: ndege, mifugo, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi, na wanadamu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafa wote wenye mwili waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe wote hai katika nchi wakafa: ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama wa porini, makundi ya viumbe wote katika nchi kavu na wanadamu wote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafa watu wote waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe wote hai katika nchi wakafa. Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama wa porini, makundi ya viumbe wote katika nchi kavu na wanadamu wote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipokufa wote wenye miili wao waliotembea katika nchi: ndege na nyama wa nyumbani na nyama wa porini na wadudu wote waliotambaa katika nchi, nao watu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafa wote wenye mwili waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe vyote vyenye uzima katika inchi vikakufa: ndege, nyama wa kufugwa, nyama wa pori, nyama wadogowadogo katika inchi kavu na wanadamu wote;